ニュース

KUNA taarifa zinaeleza mshambuliaji wa Tabora United, Heritier Makambo ametimka kambini, sababu ikitajwa ni kudai mshahara, ...
BEKI kisiki wa Real Madrid, Trent Alexander-Arnold amefichua alikuwa akijifunza Kihispania kwa ‘miezi kadhaa’ kabla ...
LICHA ya kwamba keshokutwa kuna mechi za kukamilishia raundi ya 30 ya Ligi Kuu Bara ambako vinara Yanga wataivaa Dodoma Jiji ...
LIGI Kuu Bara imesaliwa na mechi tisa tu kabla ya kufungwa kwa msimu wa 2024-25, huku Simba na Yanga zikichuana kileleni ...
YANGA imesharejea jijini Dar es Salaam na ilikuwa ikijiandaa kwenda Zanzibar kwa ajili mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma ...
MASHABIKI wa soka kwa sasa wanahesabu siku kabla ya kushuhudia pambano la Dabi ya Kariakoo lililopangwa kupigwa Juni 25 baada ...
MASHABIKI wa Manchester United wamelaani ongezeko jipya la bei za tiketi, wakilielezea ni pigo lingine kali kwao.
BAADA ya sintofahamu kuhusiana na hatma ya mchezo wa kiporo wa Dabi ya Kariakoo, hatimaye mpira umeshinda kama ilivyokuwa kiu ...
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Abdul Suleiman ‘Sopu’ ameanza kujipata ndani ya kikosi hicho baada ya kutokuwa na msimu mzuri ...
MSIMU mpya wa Tamasha la Kizimkazi unatatarajiwa kufanyika Julai 19, huku wakali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Rayvanny ...
LIVERPOOL iko tayari kuvunja rekodi ya usajili England ili kuinasa saini ya mshambuliaji wa Newcastle na timu ya taifa ya ...
KOCHA maarufu wa mchezo wa kuogelea duniani, Atiba Hasim-Nii Wade kutoka Marekani anatarajiwa kutua nchini ili kuendesha ...