Nuacht

William Ruto ameapishwa rasmi kuwa rais wa tano wa Kenya . Miongoni mwa maelfu ya watu waliopanga foleni usiku kucha ili kuona jeneza la Malkia katika jiji la Edinburgh nchini Scotland ni familia ...
Naibu Rais wa Kenya William Ruto amekaidi kila changamoto na kushinda uchaguzi wa urais uliokuwa na ushindani mkali katika taifa hilo la Afrika Mashariki.
Rais wa Kenya William Ruto ametambuliwa na Jarida la Time kuwa miongoni wa viongozi 100 wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani kutokana na mchangao wao kuhusu kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa ...
Rais wa Kenya William Ruto amesema kuwa "hana hatia" na vifo vya waandamanaji vilivyotokea mapema wiki iliyopita katika maandamano ya kuipinga serikali yake.
William Ruto ambaye ni kutoka katika familia ya watu wa kawaida, ambaye alikuja kuwa mmoja wa watu tajiri zaidi nchini Kenya, anajionyesha kama mgombea wa maskini, akikabiliana na muungano wa ...
Wafanyakazi wanashusha pumzi baada ya serikali kutangaza nyongeza isiyopungua asilimia sita ya kima cha chini cha mshahara ili kuwapiga jeki.
MWANAHARAKATI mashuhuri nchini hapa, Edmund Yakani amemtaka Rais wa Kenya, William Ruto, kutanguliza mageuzi ya kisiasa katika nchi hiyo akisema Kenya na Sudan Kusini zinafanana.