ニュース
“Tunawahakikishia wakulima upatikanaji wa mbolea kwa wakati, stahiki na huduma iliyo bora. Mpaka sasa TFC, imefanikiwa kufikisha mbolea katika mikoa, wilaya na kusambaza mbolea kwa ...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepata viongozi wawili wa kukaimu nafasi za Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu ambao Juni 13, 2025 waliondoka katika nafasi hizo kwa sababu tofauti.
Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha sindano ya lenacapavir kwa ajili ya kinga dhidi ya Virusi vya ...
Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), imeshangazwa na baadhi ya taasisi za umma kuendelea kurudia makosa licha ya kuwepo kwa ...
Rais Samia amesema hayo leo, Alhamisi Juni 19, 2025 alipohutubia wananchi wa Mkoa wa Mwanza na maeneo jirani katika ...
Historia ya ujenzi wa daraja hilo, inaanzia enzi za Serikali ya Awamu ya Tano, chini ya hayati John Magufuli aliyeliasisi na ...
Kutokana na milipuko ya magonjwa na majanga yanayoathiri sekta ya afya kuendelea kujitokeza maeneo mbalimbali duniani, wataalamu katika sekta hiyo wamekuja na mapendekezo yatakayoonesha njia ...
Serikali imeanza kuchukua hatua za haraka na za kiutendaji ili kuhakikisha Watanzania waliopo nchini Iran na Israel ...
Wakati mabaraza ya madiwani katika halmashauri zote nchini yakitarajiwa kuvunjwa kesho Juni 20, 2025, wananchi na madiwani ...
Hilo limefanyika wakati ambao Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zimebadilisha hati za ardhi ambao kila nchi ...
Vituo 50 vilivyo chini ya Mtandao wa Vituo vya Ubunifu Tanzania (THN) vinatarajiwa kujengewa uwezo ili viweze kuleta tija kwa ...
Wananchi wa Manispaa ya Morogoro wakiwemo madereva wa daladala na vyombo vingine vya moto wamelalamikia ubovu wa baadhi ya ...
一部の結果でアクセス不可の可能性があるため、非表示になっています。
アクセス不可の結果を表示する