News
Msanii wa muziki wa Singeli ambaye pia ni Dj wa kimataifa, Dj Travella ameweka wazi safari yake ya mafanikio katika muziki ...
Straika wa Sporting Lisbon, Viktor Gyokeres amekataa ombi la kufanya mazungumzo na viongozi wa timu yake huku sakata lake la uhamisho likizidi kuchukua suta mpya.
Mstaafu wetu wa Kima Cha Chini ameshtuka sana wiki iliyopita pale Dodoma Siri- Kali ilipomwambia kuwa yeye ni mmoja wa ...
“Tunawahakikishia wakulima upatikanaji wa mbolea kwa wakati, stahiki na huduma iliyo bora. Mpaka sasa TFC, imefanikiwa kufikisha mbolea katika mikoa, wilaya na kusambaza mbolea kwa ...
Wajawazito wanaoishi katika mikoa ya Njombe, Dar es Salaam na Iringa wametajwa kuvuka kiwango cha idadi ya kujifungua kwa ...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepata viongozi wawili wa kukaimu nafasi za Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu ambao Juni 13, 2025 waliondoka katika nafasi hizo kwa sababu tofauti.
Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha sindano ya lenacapavir kwa ajili ya kinga dhidi ya Virusi vya ...
Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), imeshangazwa na baadhi ya taasisi za umma kuendelea kurudia makosa licha ya kuwepo kwa ...
​​​​​​​Rais Samia amesema hayo leo, Alhamisi Juni 19, 2025 alipohutubia wananchi wa Mkoa wa Mwanza na maeneo jirani katika ...
Historia ya ujenzi wa daraja hilo, inaanzia enzi za Serikali ya Awamu ya Tano, chini ya hayati John Magufuli aliyeliasisi na ...
Kutokana na milipuko ya magonjwa na majanga yanayoathiri sekta ya afya kuendelea kujitokeza maeneo mbalimbali duniani, wataalamu katika sekta hiyo wamekuja na mapendekezo yatakayoonesha njia ...
Wakati mabaraza ya madiwani katika halmashauri zote nchini yakitarajiwa kuvunjwa kesho Juni 20, 2025, wananchi na madiwani ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results