News

Nyota wa Inter Miami na timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi (37) amefichua kuwa hana urafiki na staa wa Al Nassr na timu ...
Mgombea mwingine wa nafasi ya urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ally Mayay amerudisha fomu ya kugombea.
KOCHA wa Timu ya Taifa 'Twiga Stars', Bakari Shime amesema ushindi dhidi ya Uganda jana wa mabao 2-0 umewapa maswali magumu ...
Mchakato wa uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), unaendelea ambapo mpaka sasa wagombea wawili wa nafasi ya urais ...
Taarifa iliyotolewa na CAF leo imeeleza kuwa hafla ya uzinduzi wa fainali hizo itafanyika Jumamosi, Agosti 2 katika Uwanja wa ...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepata viongozi wawili wa kukaimu nafasi za Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu ambao Juni 13, 2025 ...
MASHABIKI wa soka kwa sasa wanahesabu siku kabla ya kushuhudia pambano la Dabi ya Kariakoo lililopangwa kupigwa Juni 25 baada ...
BAADA ya sintofahamu kuhusiana na hatma ya mchezo wa kiporo wa Dabi ya Kariakoo, hatimaye mpira umeshinda kama ilivyokuwa kiu ...
LIGI Kuu Bara imesaliwa na mechi tisa tu kabla ya kufungwa kwa msimu wa 2024-25, huku Simba na Yanga zikichuana kileleni ...
KOMPYUTA ya kisasa imetabiri msimamo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England kwa msimu wa 2025/26 baada ya ratiba zote kutangazwa ...
WINGA wa Chelsea, Mykhailo Mudryk, anakabiliwa na uwezekano wa kufungiwa hadi miaka minne baada ya kushtakiwa rasmi na Chama cha Soka cha England (FA) kuhusu ukiukaji wa kanuni za ...
BEKI kisiki wa Real Madrid, Trent Alexander-Arnold amefichua alikuwa akijifunza Kihispania kwa ‘miezi kadhaa’ kabla ...