News

MASHABIKI wa soka kwa sasa wanahesabu siku kabla ya kushuhudia pambano la Dabi ya Kariakoo lililopangwa kupigwa Juni 25 baada ...
BAADA ya sintofahamu kuhusiana na hatma ya mchezo wa kiporo wa Dabi ya Kariakoo, hatimaye mpira umeshinda kama ilivyokuwa kiu ...
LIGI Kuu Bara imesaliwa na mechi tisa tu kabla ya kufungwa kwa msimu wa 2024-25, huku Simba na Yanga zikichuana kileleni ...
KOMPYUTA ya kisasa imetabiri msimamo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England kwa msimu wa 2025/26 baada ya ratiba zote kutangazwa ...
WINGA wa Chelsea, Mykhailo Mudryk, anakabiliwa na uwezekano wa kufungiwa hadi miaka minne baada ya kushtakiwa rasmi na Chama cha Soka cha England (FA) kuhusu ukiukaji wa kanuni za ...
BEKI kisiki wa Real Madrid, Trent Alexander-Arnold amefichua alikuwa akijifunza Kihispania kwa ‘miezi kadhaa’ kabla ...
STRAIKA wa Sporting Lisbon, Viktor Gyokeres amekataa ombi la kufanya mazungumzo na viongozi wa timu yake huku sakata lake la ...
MASHABIKI wa Manchester United wamelaani ongezeko jipya la bei za tiketi, wakilielezea ni pigo lingine kali kwao.
STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amewahi kumtaja rapa wa Marekani, Jay Z kama kielelezo kizuri kwake (role model) upande ...
YANGA imesharejea jijini Dar es Salaam na ilikuwa ikijiandaa kwenda Zanzibar kwa ajili mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma ...
LICHA ya kwamba keshokutwa kuna mechi za kukamilishia raundi ya 30 ya Ligi Kuu Bara ambako vinara Yanga wataivaa Dodoma Jiji ...
WAKATI maafande wa JKT Tanzania wakisema hawana wa kumlaumu kwa kipigo walichopewa na Pamba Jiji kwani kwani malengo kwa ...